Natafuta King'amuzi cha Azam

NDESSA

JF-Expert Member
May 2, 2013
1,946
1,795
Wakuu naomba kujua wapi vinauzwa hivyo ving'amuzi hapa Dar na bei yake kwa sasa.
Asanteni.
 
Nenda Tazara ofisini kwao makao makuu ukitokea Buguruni unakunja kushoto km unaenda mjini jengo linatazamana na Redio Tanzania bei yao ni nafuu kuliko kwa mawakala
 
Nenda Tazara ofisini kwao makao makuu ukitokea Buguruni unakunja kushoto km unaenda mjini jengo linatazamana na Redio Tanzania bei yao ni nafuu kuliko kwa mawakala
Asante.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom