Jipatie unlock code kwa bei nafuu kabisa

Nipe manufaa ya kuwa na code hizo, labda nitajipatia
.Kupitia unlock code simu yako itaweza tumia mitandao yote
Utakapowasha simu yako ikiwa na SIM card tofauti itakutaka kuingiza namba moja wapo kati ya hizi zilizoorodheshwa hapa chini:-
---SIM network unlock pin
--- SIM service provider unlock pin
--- Network unlock code
-- Enter SIM Me Lock Code[NP]
-- Unlock Sim Block
-- Please Input Network Pin
-- SIM locked
--- SIM card locked! Please contact your operator! Reset Key?
 
Vipi mkuu kwa hizi Techno Y3+ ambazo zinatumia line moja tu na hazihitaji Unlock code unaweza kuunlock kwa njia gani? maana naona tigo wanazingua tu.
 
Vipi mkuu kwa hizi Techno Y3+ ambazo zinatumia line moja tu na hazihitaji Unlock code unaweza kuunlock kwa njia gani? maana naona tigo wanazingua tu.
Tecnol Y3 + Hii simu inaweza kuunlokiwa na kifaa kiitwacho SIGMA BOX...kwa mimi sina
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom