Gharama za ununuzi wa mashine ya kusaga nafaka

chindo

Senior Member
Oct 6, 2013
166
101
Habari zenu wakuu.

Kama tangazo linavyosomeka ningependa kufahamu gharama za manunuzi ya machine ya kusaga nafaka pamoja mahali zinapoatikana.

Ningependa kufahamu pia taratibu nyingine za kufuata kabla ya kufungua centre ya kusaga na kukoboa pamoja na gharama zake.

Natanguliza shukrani za dhati kwenu.
 
kina vigezo kadhaa vinavyochangia kufanikisha hitaji lako. ni muhimu ukataja unakotaka kuweka mradi, nishati gani unayoitegemea UMEME/DIZEL? na pia unalenga nafaka zipi: mahindi, mpunga/mchele au kusaga mihogo/udaga. aidha wauzaji na waundaji wa vipuri vya shughuli kama yako ni SIDO na karakana hasa za welding. **sikushauri ununue complete duka la wachuuzi. aghalabu baadhi ya vifaa sio imara
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom