Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Ule wakati wa kwenda kwenda kwenye harusi unanukia spray ya seduction, katikati ya sherehe uende chemba kidogo urudie kuspray umekwishaaaa... Pata perfume original maalum kwa matumizi ya nyakati...
0 Reactions
51 Replies
6K Views
Natafuta shule ya Boarding ya mchanganyiko Cape town, kwa form one naomba msaada wenu.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Bado kuna wanafunzi wengi wanafeli mitihani ya kidato cha 4 na cha 6. Wengine walishafeli zamani wakarudia mitihani, na bado hawakupata alama, sasa hawajui cha kufanya. Kwa bahati mbaya wengi wao...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nipo Mwanza,kama unahitaji kukodisha Noah kwa shughuli za Harusi N.K,Karibu nikukodishie.Tuwasiliane kwa 0742159555
0 Reactions
1 Replies
819 Views
Vinapatikana kila aina na Saizi tofauti .kwa maelekezo zaidi piga namba 0672:716267
0 Reactions
0 Replies
852 Views
Habari, Ninahitaji mchoraji katuni kwa ajili ya katuni show tunayoitengeneza. Hii ni kazi yetu wenyewe hatulipwi kwa hiyo nawe hautalipwa kwa sasa. Pindi tutakapo anza ingiza pesa kutokana na hiyo...
0 Reactions
2 Replies
730 Views
3 bedrooms( one self contained), kitchen,sitting/Dining room, Bathroom, public toilet, nje kuna parking 2-3. Nyumba ipo katika uzio mkubwa wenye ma-*gates ndani ya eneo la NSSF. Kodi 250,000 kwa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mafuta, ya mawese hutumika kama Tiba Asilia kwa magonjwa mbalimbali na pia hutumika kwa kupikia na wengine pia hutumia kwaajili ya kutengenezea sabuni za magadi na kadhalika, mwenye kuhitaji...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
MATUKIO ya vifo yanazidi kupamba moto jiji la Dar es s Salaam ambapo watu wanne wamekufa katika matukio tofauti jijini humo MATUKIO ya vifo yanazidi kupamba moto jiji la Dar es s Salaam ambapo...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
pata laptop aina ya hp probook 5320m kaliii kwa bei nafuuu icore i5 500gb hdd 4gb ram 2.53ghz 3hours baterry life time kama uko busy sana hdmi supported bei 480000/= Location dar
1 Reactions
1 Replies
948 Views
Nauza viatu vya kike na vya kiume kwa bei nzuri kuanzia 15,000 na kuendelea. Napatikana Kibaha kwa walio Dar kiatu utaletewa kwa gharama ya sh.2000 mikoani utatumiwa kwa sh.5000 Napokea order...
0 Reactions
13 Replies
11K Views
Wakuu habari! naitaji mayai ya kanga kwa ajili ya kutotolesha nipo dar es salaam.Ni pm au weka namba yako nitakucall kama unayo
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Maeneo kuanzia kimara stopover, suka, Temboni, kwa msuguli, kibanda na Mbezi.
0 Reactions
0 Replies
658 Views
Habari wana jamii. Niuzie betri ya simu aina ya Obi Racoon S401
0 Reactions
2 Replies
788 Views
internal 8gb..ram 1gb..INA 4g kwa laki na 40.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Ninauza IPad Pro + Pencil + Smart Keyboard Bei 1m Mwenye kuhitaji nione private wa kike tu nipo Mwanza.
0 Reactions
3 Replies
868 Views
Habari ya jioni ndugu jamaa na marafiki, kwa yeyote anayefahamu yanapo uzwa majiko ya stove anifahamishe nipo Dar. 0714374155 au 0753199179. Au kama unalo na unaliuza tuwasiliane pia ila liwe...
1 Reactions
35 Replies
6K Views
Ipo ARUSHA CC 2660 MODEL;NISSAN TD 27 ISUZU FARGO T 631 CUX Bei mil 14 haidaiwi,inatumiwa kwa sasa kwa matumizi ya kusafirisha wanafunzi wa english medium school haijawahi pakwa rangi bali ina...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu natumai ni wazima wa afya njema. .. Natafuta blender ZISIZO TUMIA UMEME (mannual blender) Naomba kujua bei yake pamoja na uwezo wake wa kufanya kazi...ukilinganisha na blender za umeme...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Chumba na sitting room .Ni vyumba vizuri na vina fen kila chumba ,Ni sehemu salama zaidi.inapangishwa Ukonga Mombasa Transfoma .kwa sh laki moja kwa mwezi kila chumba elf 50,000 ,maji yapo .for...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom