Chumba kinapangishwa Mwenge, Dar

Tunzo

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
3,687
2,000
Chumba kipo Mwenge near TRA, Dar es salaam, kipo mahali tulivu na salama kipo ndani ya geti na paking ni kubwa, sehemu ina wapangaji wa chache na uhuru ni wako mpangaji, Bei ni 80,000 kwa mwezi, pia sehemu inafaa kwa ajili wa wanachuo kwa sababu ni karibu na chuo cha Tumaini, UD, Chuo cha kodi na pia Ustawi, pia hata mkiamua kuchanga wawili kwake haina shida, kwa mawasiliano nichek kwa 0713415537
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom