WALLPAPERS ZA KIJANJA

KAPURO

JF-Expert Member
Feb 12, 2016
235
152
Ifanye nyumba yako, chumba chako au sebule yako kuwa na muonekano kwenye mvuto wa Aina yakeee. Kwa kutumia Wallpapers zenye ubora wa hali ya juu kutoka K-TRUST itaifanya nyumba yako kuwa na mvuto wa pekee.
Bei zetu ni poa sana ukilinganisha na ubora wake. Ni elfu 50000/= Tu kwa Roll moja yenye mita 10 kwa cm 53.
Sifa sake;
Zinadumu miaka 25-20.
Zikichafuka nirahisi kufuta.
Ni rahisi mno kubandika na kubandua hata nyumba za kupanga zinafaa.
Naomba unipe oda yako nikuletee mzigo popote ulipo umbali sio tatizo. Piga/ Whatsaap no. 0753359245.
Huta juta kununua wallpapers kutoka kwangu. Karibu sana Tupo Kariakoo na Kibaha.
 
Mkuu Wallpaper najua km ni picha sasa wewe umekumbwa na uvivu gani kushindwa kutuwekea hata SAMPLE??
 
Bila picha....ni sawa kusema karibuni chakula huku umesimama uani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom