Naitwa William nipo shinyanga ,kama mnavyojua ukipatwa na shida ulichonacho ndo kinakusaidia ,nimekuja mbele yenu wadau kama sehemu ya kutatua shida yangu kupitia godoro langu
Ninauza jamani...
Biashara hii iko Mbezi mwisho, Kibanda cha Mkaa, iko sehemu iliyotulia na mzunguko wa watu ni mkubwa, ina kila kitu ni kuingiza vinywaji tu unaanza kazi. Bei yake ni pamoja na kodi ya miezi 5...
MAJAKI BATIKI FASHION ni wataalam wa kutengeneza na kufundisha Batiki aina zote (BATIKI, TIE & DYE, BREACH, VIKOI + KANGA BATIKI, PICHA BATIKI na aina zingine nyingi)
Tunafundisha kwa bei nafuu...
Kwa wakazi wote wa Morogoro tunapenda kuwakaribish Pweza Center iliyoko Masika, utajipatia supu ya pweza, chips za mwendokasi, na supu, ya kuku, na vyakula vingine vingi kwa bei poa na huduma zetu...
Tunachora Ramani za nyumba kutokana na kiwanja chako kwa bei nafuu sana, pia tunandaa structural and services drawings (plumbing and electrical drawings) kwa wale wanaohitaji, pamoja na BOQ. Kwa...
Tunaprint tshirts kwaajili ya familia,wapenzi,vijana,shule,kampuni,vikund.nk kwa gharama nafuu sana tuwasiliane kuweka order yako 065419108
Pia karibu uweke order yako ya tshirt za valentines day
Habari wana jamvi.
Hapa ni sehemu maalum ya kuuza Nyumba, kiwanja na shamba. Ni sehemu ya kukutanisha muuzaji na mnunuzi moja kwa moja au kupitia Dalali.
Habari na matangazo yatolewe kiusahihi...
Utapimiwa eneo lako kwa bei nafuu. Pamoja na ushauri utapata juu ya nin kifanyike katika eneo lako. Piwima leo upandishe thamani ya ardhi yako leo. Njoo tukupimie njoo tukupe ushauri juu ya ardhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.