Nahitaji mashine ya kukamulia miwa

Nahitaji mashine ya kukamulia miwa

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,346
Reaction score
26,139
Tafadhali, husika na kichwa cha habari hapo juu. Nahitaji mashine ya kukamulia miwa kwa ajili ya kutengeneza sharubati ya miwa. Kwa anayejua zinapopatikana tuwasiliane: 0713 111171
 
Back
Top Bottom