HUNIJUI SIKUJUI
JF-Expert Member
- Apr 4, 2015
- 1,335
- 1,632
Nimejaribu kuuliza voda house niliponunulia hii simu lakini nao hawajui chochote, simu ni nzuri tu lakini nauliza kwa wewe ambae umeshatumia hizi simu spare zake ulipata wapi?
Kuna simu nzuri tu ya smart 7 niliiona ila spare nikaogopa kulingana na maajibu ya muuzaji nikaona nichukue ya elfu 70 niitumie ili hata ikiharibika iwe poa tu.
Je, ulishawahi kupata spare ya simu za vodafone?