Autoguru workshop - Kwa kazi za Aluminium na PVC kwenye nyumba au ofisi

Mecky Hamphrey

Senior Member
May 2, 2013
101
18
Karibu Autoguru workshop kwa kazi za aluminium na PVC kwa gharama nafuu zaidi kwa ajili ya nyumba yako au ofisi yako. Tunapatikana Kinondoni Manyanya mkabala na msikiti wa BAKWATA mtaa wa Brazil. Tuwasiliane kwa namba 0688767668/0715967107 email info@autogurugarage.co.tz

Click hapa kuona kazi zetu:: aluminium-001
 
Attachments

  • cd.jpg
    cd.jpg
    28 KB · Views: 171
Naomba unitajie roughly gharama ya dirisha la 6x5 likiwa aluminium na likiwa pvc... Nini faida ya pvc dhidi ya aluminium?
 
5*6 Aluminum roughly ni 290000 while pvc ni 420000 kwa size hiyo, PVC inadumu muda mrefu zaidi ya aluminum
 
Karibu Autoguru workshop kwa kazi za aluminium na PVC kwa gharama nafuu zaidi kwa ajili ya nyumba yako au ofisi yako. Tunapatikana Kinondoni Manyanya mkabala na msikiti wa BAKWATA mtaa wa Brazil. Tuwasiliane kwa namba 0688767668/0715967107 email info@autogurugarage.co.tz

Click hapa kuona kazi zetu:: aluminium-001
Habari. Naomba unipigie gharama za kutengeneza madirisha ya Aluminium quality bora kabisa. Vipimo ni kama ifuatavyo :-

Vipimo ni:-

2.5mx x 1.8m=madirisha 2, 2mx1.8m=madirisha 3, 1.5mx1.8m=madirisha 3,
1mx1.5m=dirisha 1 na
1mx07m=madirisha 4.
 
Jumla ni 32.2sqm na kwa kila sqm kuna 130000 na 115000 maongezi yapo kidogo, tuwasiliane kwa 0688767668 au 0715967107 karibu sana.
 
Karibu Autoguru workshop kwa kazi za aluminium na PVC kwa gharama nafuu zaidi kwa ajili ya nyumba yako au ofisi yako. Tunapatikana Kinondoni Manyanya mkabala na msikiti wa BAKWATA mtaa wa Brazil. Tuwasiliane kwa namba 0688767668/0715967107 email info@autogurugarage.co.tz

Click hapa kuona kazi zetu:: aluminium-001
mbambo vipi..kwa mlango wa bafuni mnatengenezaaa?makadirio yanaweza kua bei gan
 
Mkuu nini faida ya kuweka hayo madirsha ya kisasa na yale ya zamani ya frame za mbao unaweka na nondo nijibu kiufasaha nina kazi kubwa sana kinyerezi site zangu 2 za wapangaji
 
Back
Top Bottom