Habari!!
Kwa mwenye mashine hiyo au anamfahamu mwenye mashine tajwa (picha inafuata) naomba aniunganishe nae. Maelezo ya kazi tunayotaka ifanye
1. Kusawazisha eneo lenye miti saizi ya kati na...
POWER BANK
For mobile Phone/MP4/iPhone/Pad
Input:5V/1A Output:5V1A&5V/2A
Capacity: 12000mAh Tsh" 55,000/=
POWER BANK
For mobile Phone/MP4/iPhone/Pad
Input:5V/1A Output:5V1A&5V/2A
Capacity...
Model Huawei G6-U10
Ram 1Gb
Phone storage 4Gb
Android Version 4.3
Ina 4G
Camera 8/5 MP
Bei 300k (laki 3),Negotiable.
Kwa serious buyers cheki nami PM kwa mawasiliano na picha zaidi...
Simu iko poa ila betri linazingua ni la kubadilisha tu, na mfuniko wake haufungi fresh ila yenyew iko poa bei ni 65000 tu, atakae hitaj aniPM tufanye biashara!
Igweeeee,
Msaada wenu wakuu, Nahitaji chumba cha kupanga Singida manispaa, Kiwe chumba na sebule ila kiwe self contained, kisiwe mbali sana na hospitali ya mkoa, kiwe na tiles,
Naombeni msaada...
Haya wadau,ule mzigo wa GPS/GSM/GPRS-KUTRACK GARI ILIYOIBIWA KWA KUTUMIA SIMU-SMS. UPO DAR-ES-SALAAM SASA.
bei yetu ni poa sana.
huitaji kuwa na simu za kisasa,hata simu za mkulima,tochi zinafaa...
Hii sio ya kukosa, Laptop HP mini na Sabufa vipo sokoni, laptop kwa haraka haraka ina 2GB RAM, Webcam, 300GB Hard disk, mashine ipo vizuri, housing ndio kidogo imechoka unaweza ukabadilisha au...
Hallelujah!!!!!
Naombeni mnisaidie kunieleza ni King'amzi gani ambacho bandle zake ni bei ndogo kuliko. Hasa ukizingatia kwamba kipindi hiki ni kigum kwangu ki-uchumi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.