Laptop HP mini na sabufa vinauzwa

Laptop HP mini na sabufa vinauzwa

Farudume12

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Posts
621
Reaction score
352
Hii sio ya kukosa, Laptop HP mini na Sabufa vipo sokoni, laptop kwa haraka haraka ina 2GB RAM, Webcam, 300GB Hard disk, mashine ipo vizuri, housing ndio kidogo imechoka unaweza ukabadilisha au usibadilishe. Battery inapiga masaa 2 na zaidi. Bei nataka laki na nusu(150000) tu.

ukichukua mzigo nakupa na modem ya Airtel inayotumia line zote buree. Pia kuna SABUFA kabila ya RISING ipo vizuri sana, inatumia speaker 5 haina tatizo lolote, bei sabufa inataka 80000 tu, kwa maelezo zaidi na picha, nicheki kwenye namba 0657469664
karibu
 
hp-mini-laptop-1601gb-ram_bd0895f_3.jpg




images
 
Mtoa tangazo mwingine mleta picha mwingine [emoji15]
mkuu nimeamua kumsaidi ili aone umuhimu wa kuweka picha, sio kila kitu whatsapp na PM. Picha muhimu kuona uhalisia wa bidhaa.
 
Mi naiweza subwoofer tu apo..toa location
 
wakuu machine bado ipo, nime shindwa kuweka picha, samahani kwahilo.
 
Naona kuna mijitu ilishaanza kuingililia uzi zawengine, epukeni matapeli
 
Back
Top Bottom