Kwa wanaohitaji Gps tracking device kwenye magari.

Hebu eleza vizuri kijana, hakuna gharama yoyote baada kufunga hiyo gps? Kwenye bajaji je hamuweki?
Ok unapofungiwa kifaa cha Gps kwa gharama hyo utakuwa unalipa 20000 kwa mwezi ila utachagua kulipa kwa miezi 3,6 au mwaka.
 
bro yan ndo inafanyaje fanyaje hiyo gps embu tuelezee kidogo kuna gari zina gps tunanunua mtumba na hatulipii hiyo ina nini had tulipie window phone zote gps bure embi tufafanulie
 
bro yan ndo inafanyaje fanyaje hiyo gps embu tuelezee kidogo kuna gari zina gps tunanunua mtumba na hatulipii hiyo ina nini had tulipie window phone zote gps bure embi tufafanulie
Mkuu hii ni Gps ambayo una install na kuioperate wewe mwenye ukihitaji kuona chombo chako kiko wap au kujua rout zote ambazo kimepita kwa muda husika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom