Chumba cha kupanga kinahitajika

KIDUDU

JF-Expert Member
Sep 17, 2012
2,557
1,926
Igweeeee,
Msaada wenu wakuu, Nahitaji chumba cha kupanga Singida manispaa, Kiwe chumba na sebule ila kiwe self contained, kisiwe mbali sana na hospitali ya mkoa, kiwe na tiles,

Naombeni msaada wenu tafadhali.
Mwenye msaada anitumie maelezo pm
asanteni na karibuni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom