Very urgent! Bulldozer d6 linahitajika haraka sana

biasharaTz

Senior Member
Apr 14, 2016
163
79
Habari!!
Kwa mwenye mashine hiyo au anamfahamu mwenye mashine tajwa (picha inafuata) naomba aniunganishe nae. Maelezo ya kazi tunayotaka ifanye
1. Kusawazisha eneo lenye miti saizi ya kati na midogo midogo, na mabonde
2. Mahali ni Kibiti, kilomita 120 toka Dar na kilomita 2 kutoka barabara ya lami
3. Ukubwa wa eneo ni heka 200
4. Muda wa kukodi ni mpaka kazi itakapoisha japo tumekadiria kama wiki mbili
5. Naomba gharama yake kwa siku, na gharama ya kusafirisha na lowbed trailer
6.Mawasiliano : 0659 211 222; inapatikana whatsapp vilevile. Mtu kuja pm inaruhusiwa vilevile
Screenshots_2017-02-23-20-13-29.png
 
Back
Top Bottom