King'amuzi gani chenye package bei nafuu?

MfalmewaKiha

JF-Expert Member
Feb 16, 2017
1,191
1,237
Hallelujah!!!!!

Naombeni mnisaidie kunieleza ni King'amzi gani ambacho bandle zake ni bei ndogo kuliko. Hasa ukizingatia kwamba kipindi hiki ni kigum kwangu ki-uchumi.
 
startimes wana bei rahisi sana lakin channel zao sio nzuri, yani hazina vipindi vizuri.
jaribu Azamtv labda!
 
Back
Top Bottom