Mzigo wa gps/gsm/gprs-kutrack gari iliyoibiwa kwa kutumia simu-sms. Upo dar-es-salaam sasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzigo wa gps/gsm/gprs-kutrack gari iliyoibiwa kwa kutumia simu-sms. Upo dar-es-salaam sasa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by engmtolera, Aug 24, 2012.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Aug 24, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,078
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Haya wadau,ule mzigo wa GPS/GSM/GPRS-KUTRACK GARI ILIYOIBIWA KWA KUTUMIA SIMU-SMS. UPO DAR-ES-SALAAM SASA.
  bei yetu ni poa sana.
  huitaji kuwa na simu za kisasa,hata simu za mkulima,tochi zinafaa pia,UNACHO HITAJI NI KUWA NA LINE YA SIMU.unaweza kulocate location na kukata mafuta ya gari lako pindi wezi wanapokuwa wanaliendesha na baada ya hapo unatumia GPS/GPRS na kuelewa wapi gari lako lipo
  Ni rahisi sana kutumia na ina kitabu cha kingereza kwa maelezo zaidi

  mwenye kuhitaji tuwasiliane PM
  T2L8iaXd0XXXXXXXXX_!!14096704.jpg
   

  Attached Files:

 2. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,743
  Likes Received: 832
  Trophy Points: 280
  bei zikoje mkuu,na warrant unatoa?
   
 3. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,397
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  ..Hiki kifaa ni muhimu sana kifungwe ktk gari la Dr Ulimboka. Weka bei, ofisi yako ilipo na Mawasiliano yako Mkuu
   
 4. u

  ureni JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,073
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Tatizo hao watakaomteka ulimboka watamfaulisha kwenye gari lingine hawata tumia hilo gari lake ambalo utaiwekea hiyo GPRS
   
 5. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #5
  Aug 24, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,078
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hahahahaha
  kaka hiki kifaa si kwa ulimboka tu,kipo kingine unaweza kumwekea mume wako ama mke wako ktk nguo zake na ukamtrack kila aendapo.
   
 6. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #6
  Aug 24, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,078
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  kama nilivyosema hapo juu bei zetu ni karibu na bure na huwezi pata popote pale Tanzania
   
 7. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #7
  Aug 24, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,500
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  weka bei bwana mi nasubiri nione nije kuchukua kwa magari yangu yote
   
 8. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #8
  Aug 24, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,078
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  bei ni powa sana
  laki nne/pc
  ukilia lia sana tena sana laki 3.5/pc
   
 9. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #9
  Aug 24, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,571
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Hiyo bei inajumuisha ufundi wa kuinstall?
   
 10. Prince Mujubu

  Prince Mujubu Senior Member

  #10
  Feb 23, 2017
  Joined: Jun 7, 2016
  Messages: 100
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Gps zipo kwa wanaohitaji bei 300000 tu.
   
 11. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #11
  Feb 23, 2017
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,383
  Likes Received: 3,529
  Trophy Points: 280
  Mkuu una maana gani??
   
Loading...