real thinker
Senior Member
- Jun 24, 2012
- 118
- 30
Kwa yeyote mwenye uhitaji wa laini za Tigo pesa na mpesa mm nauza, kwa mawasiliano zaidi piga 0655663443
Nasikia hizo line za magumashi ukinunua kamisheni mnagawana na alokuuzia bila wewe kujua. Hayo tulishastukia aiseekwa yeyote mwenye uhitaji wa laini za tigo pesa na m pesa mm nauza, kwa mawasiliano zaidi piga 0655663443
acha kukalili maisha rafiki yangu pia siyo kila mtu yupo kama unavofikiriaNasikia hizo line za magumashi ukinunua kamisheni mnagawana na alokuuzia bila wewe kujua. Hayo tulishastukia aisee
umeongea ukweli brother huyo jamaaa karopoka kitu ambacho hakijuiSio kwel bwana, sio kila anaeuza anauza kitu kilicho na tatzo, mitaji inakata tu mtu anaamua bora auze, ila kama we huhtaji unakaa pembeni, lain za magumashi unazipata wap hizo? Mi yangu ina nilisajili mwenyewe na INA till na second, nikimuuzia mtu nampa vyote je camision kwangu inaingia kwenye nn? Acha story za kijiweni, by the way hakuna anaekulazimisha kununua!
NIPO DSM KAKAUnayeuza hizo line uko mkoa gani?
laki 3Tgo pesa bei gan?
Iyo line bado ipoChukua laki moja
Lain ya m.pesa 150k fresh tunafanya biashara, 0713-193781
Iyo line bado ipo