IPILIMO
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,819
- 801
Hello,
Kama kampuni halali, tumebuni na tumedhamilia kuanzisha Huduma ya kusaidia wakazi wa nje ya mkoa wa DSM wenye lengo la kupata bidhaa jijini DSM bila wao kuja DSM kila Mara. Au wao kutafuta soko la bidhaa zao DSM.
Walengwa ni watu wa kawaida na wafanya biashara.
Huduma hizo ni:
1) Kutafuta bidhaa husika
2) Kupata bei halisi sokoni
3) Kushauri mbadala wa bidhaa
4) Kununua bidhaa husika
5) Kusafirisha bidhaa husika
6) Kutafiti soko la bidhaa za mkoani,, kupokea na kuuza.
Tumejaribu kufanya: mkazi wa Tukuyu alihitaji kupata spare Fulani ya gari yake baada ya kuambiwa na Fundi, akatafuta mbeya mjini akaona kama gharama, sisi tukatafiti hapa DSM, tukaipata, bei nafuu, tukanunua, tukapakia, ikamfikia.....gharama ikawa kiasi tu , haizidi gharama angeshuka mwenyewe dar...
Nb: bado tuko kwenye strategic plan ya uendeshaji mfumo huu wa biashara huduma.
Kama una wazo la kutusaidia kufikia hili wazo...pls tusaidie ili kuwa real, maana hstukawii kuonekana matapeli. Lengo ni zuri kabisa.