Natafuta blender zisizotumia umeme

riba

Member
Dec 30, 2016
23
13
Wakuu natumai ni wazima wa afya njema. ..

Natafuta blender ZISIZO TUMIA UMEME (mannual blender)
Naomba kujua bei yake pamoja na uwezo wake wa kufanya kazi...ukilinganisha na blender za umeme (electric blender )

Msaada wenu wakuu
 
Back
Top Bottom