Unajua nini kuhusu kampuni ya usafi wa choo/bafu??

amate

Senior Member
Feb 23, 2017
157
377
Pure hygiene, ni kampuni ya kitanzania, iko Dar es salaam, inatoa huduma za usafi Wa vyoo na mabafu ya kuogea(Bathing room),
Kwa kutumia chemicals za kusafishia vyoo za kisasa kabsa. Tunasafisha kwa bei rahisi kabisa,
Unaweza kusafisha kwa mara moja, Unaweza kusaini mkataba wa mwezi, mpaka mwaka kwa bei rahisi zaidi.

Tunasafisha kwenye nyumba za watu binafisi, hoteli, bar, Offisi, vyuo au vyoo vya makampuni yoyote katika mkoa wa Dar es salaam

Tuwasiane kupitia
+255718280035
+255764261532
 
Back
Top Bottom