Kiwanja size ya 35 *45 mtrs kinauzwa karibu na chuo kikuu cha muhimbili university Kipo kibamba CCM .
Kwa maelezo zaidi..piga simu 0757464131 au 0759003146.
Mwenyewe sio dalali.
35MillionWeka bei hapa mkuu tujue pa kuanzia
Umeona eeeeehhh????!
!
tatizo ni jina hilo la mbele ya kibamba..........
Duuu m35 kibamba!!?35Million
Mkuu unaijua mitambo ya umeme?Hayo ma mitambo ya umeme vipi kwani Sheria unatakiwa kujemnga mbali mita nyingi tu kutoka hizo gridi za Taifa kuweni makini wanunuaje msije uvaa mkenge
0757464131..piga simu tuongee mkuuDuuu m35 kibamba!!?
Hati iko kwenye process ila documents zingine zipoKina hati?