mslopagaz
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 367
- 36
Shule imesajiliwa ina zaidi ya miaka nane tangu imeanzishwa ina madarasa 15, mabwen 10, nyumba za walim 5, bwalo kubwa la kisasa, store 1, uwanja wa mpira wa miguu (football), uwanja wa mpira mikono (netball) eneo la shule na ukubwa wa hekari 8 umeme na maj yapo. Shule ipo umbal wa 1.3km kutoka stand ya daladala
0656 698232
0656 698232