Unahitaji ulinzi wa kujua mahali gari,pikipiki na bajaji yako ilipo hata itapoibiwa?

hatym

JF-Expert Member
Dec 29, 2013
513
178
Habari
I-SECURITY TECHNOLOGY (IST)
wamegosogezea huduma bora zaidi mlangoni kwako
Pata CAR TRACKING SYSTEMS na uwe huru na vyombo vyako vya usafiri na magari ya mizigo unavyomiliki

Kwanini uweke SECURE GPS TRACKER?
Kuna makampuni mengi ambayo yanaweka vifaa hivi,lakini tunayo technologia ya kisasa kabisa ambayo huwezi ipata toka makampuni mengine
-utapata taarifa kupitia meseji kwenye simu ya mkononi, na application maalum kupitia Android/iphone App pamoja na computer
-GPS tracker zetu zinakuja na alarm, hii inamaanisha utapata taarifa ya kufunguliwa kwa milango, gari kuguswa kupitia simu yako mkononina alarm ya kawaida
-una uwezo wa kuzima gari lako popote pale ulipo kupitia simu ya mkononi na lisiwake hivyo ni rahisi kupata gari litapoibiwa
-unaweza na utakuwa na mamlaka ya kuchagua ni eneo lipi gari lako lipite na lisifike
-utaweza kujua iwapo kuna wizi wa mafuta
-utapata taarifa endapo gari lina matatizo kwenye engine,sensor za gari
-utapata taarifa za milango kufunguliwa, gari kuwashwa na kuzimwa na kuzidishwa kwa mwendo, kumbukumbu zote za gari zinahifadhiwa kwenye kifaa husika
-utapata kujua na kufahamu route zote gari lako linazozifanya

Gharama kwa gari ni sh 300,000 utapewa huduma ya mwaka mzima bure, baada ya hapo unaweza uka activate kila mwezi elf 20,000 ili kuwa online muda wote

Kwa bajaji na pikipiki ni sh 170,000 na hakutakuwa na malipo ya mwisho wa mwezi kwa piki piki na bajaji

Huduma nyingine tunazotoa
Ni
>TIME ATTENDANCE SYSTEMS
kujua utendaji na mahudhurio ya wafanyakazi)
>Intruder alarms (kujua kama kuna uvamizi kupitia simu yako ya mkononi na vingora

>AUTOMATIC GATES
geti litaweza kujifungua lenyewe unapotaka kutoka au kuingia kwa kutumia sensor au remote

>VIDEO INTERCOM SYSTEM
utaweza kumuona mtu anayehitaji kuingia kwako kwa kuwasiliana nae kupitia video na sauti ukiwa ndani ya nyumba ama ofisi yako

>ELECTRIC FENCE
Zungusha wasa wa umeme juu ya uzio wako na hakuna muhalifu atayeweza kupita

>CCTV CAMERAS
Funga kamera bora na zenye warrant wa mwaka mzima zenye uwezo wa kuangalia mazingira ya ofisi na nyumba yako

kwa mawasiliano zaidi piga namba +255758728258
Au tembelea
www.isecure.co.tz
info@isecure.co.tz
70317dbc51a74734c111a306bcd23e3a.jpg
fee65ffcebc2911771a95c58106f9841.jpg
567946951521780042fb69155f04de83.jpg
852663d2a3718dd16f468d83aa014900.jpg
3f5ca5ababdc1c9b7700eebc1694f0c0.jpg
8395e320c44e4cf1dca4f081f96ec233.jpg
 
Fafanua hayo malipo ya gar na pikipiki tuelewe ni kifaa unauziwa kwa iyo bei au ni nini hasa...na unalipa kwa marudiorudio(weekly/monthly/annual)au mara moja tu basi
 
Hiyo laki 300,000 kwa car system ni once? au baada ya hapo kuna malipo mengine?

Ahsante kwa swali zuri mkuu,kwa gari gharama ni hio ya kufunga na utapewa mwaka mzima wa kutumia bila kulipia,baada ya mwaka kuisha utalipia malipo ya sh elf 20 kwa mwezi kama utahitaji kuwa online,ikiwa hauaji pia unaweza kutumia sema kuna baadhi ya huduma zitapungua
Ila kwa pikipiki na bajaji hakuna malipo ya mwisho wa mwezi
Ukishalipia hio 170,000 hutalipa tena
 
Fafanua hayo malipo ya gar na pikipiki tuelewe ni kifaa unauziwa kwa iyo bei au ni nini hasa...na unalipa kwa marudiorudio(weekly/monthly/annual)au mara moja tu basi

Ahsante kwa swali zuri mkuu,kwa gari gharama ni hio ya kufunga na utapewa mwaka mzima wa kutumia bila kulipia,baada ya mwaka kuisha utalipia malipo ya sh elf 20 kwa mwezi kama utahitaji kuwa online,ikiwa hauaji pia unaweza kutumia sema kuna baadhi ya huduma zitapungua
Ila kwa pikipiki na bajaji hakuna malipo ya mwisho wa mwezi
Ukishalipia hio 170,000 hutalipa tena
 
Nakupa jibu mkuu naomba univumilie kidogo

Kuna application maalumu ambazo unaweza kufanyiwa installation,lakini kujua mahali ilipo ni mpaka pale atapoiunga na mtandao,itakutumia link itakayokuongoza mahali ilipo pamoja na picha ya mshukiwa na kukutumia
 
I-secure
Technology inawaletea teknolojia mpya ya usalama katika gari , ambacho inafanya kazi kama alarm system hapo hapo inafanya kazi ya tracking . Kifaa hiki kina uwezo wa kufanya kazi zote kwa pamoja au kufanya kazi moja moja kutokana na mteja atakavyopendelea. Kifaa kinafanya kazi kama ifuatavyo

1. Kifaa kinafanya kazi kama alarm.

i) Hii inamaana italiza king’ora ikiwa ghali lako litagushwa au kupata mshtuko

ii) Iwapo alarm italia utapata pia taarifa kwenye simu yako ya mkononi.

iii) Milango ya gari itakuwa imefunguliwa.

2. Kifaa kinafanya kazi ya kutrack.

i) Hapa itakupa taarifa ya kuwashwa kwa gari yako ,

ii) Itakupa taarifa ya kuzimwa kwa gari yako

iii) Utapata taarifa ya utumiaji wa mafuta katika gari yako

iv) Itakupatia taarifa kuhusu mwendo kasi wa gari lako na kama gari lako limezidishwa mwendo.

v) Inayo uwezo wa kukupa taarifa ya gari yako kila baada ya muda utakaochagua , mfano kila baada ya nusu saa , hapa itakuletea mwendokasi wa gari ,mahali lilipo, na muda.

vi) Inao uwezo wa kukupa taarifa ya gari lako kutokana na umbali uliotembea , mfano kila baada ya kilomita 3 itakuletea taarifa gari lilipo, mwendokasi, na muda.

vii) Inao uwezo wa kulizima gari lako popote lilipo na lisiweze kuwaka mpaka pale utakapoamua kuliwasha kwa kupitia simu yako ya mkononi.

viii) Pia lina geofencing function, SOS button , online tracking.

Kwanini uweke kifaa hiki kwenye gari lako.

a) Kifaa kina alarm hivyo muda wowote usalama wa gari yako utakuwa wa uhakika

b) Utapata kujua matumizi ya gari yako , mfano speed , eneo lililopo

c) utapata kujua taarifa za matumizi ya mfuta.

d) Hakuna hofu ya gari lako kuibwa kwani unaweza kulizima popote pale na muda wowote.

e)pia unao uwezo wa kuchagua kifaa kifanye kazi ipi na ipi kisifanye .

Kwa wanaohitaji na maulizo zaidi usisite kuwasiliana nasi
simu : 0758728258
Au tembelea isecure.co.tz
 
Kuna application maalumu ambazo unaweza kufanyiwa installation,lakini kujua mahali ilipo ni mpaka pale atapoiunga na mtandao,itakutumia link itakayokuongoza mahali ilipo pamoja na picha ya mshukiwa na kukutumia
Hapo inamaana akibadilisha hard disk ameshakutoka
 
ikitokea nikaunganishwa na hiyo system na kwa bahati mbaya nikaibiwa gari na isionekane kwenye mfumo wenu mliounganisha je mtanilipa fidia ya gari nililoibiwa kwa ulaghai au uzembe wa kifaa chenu?
 
Nimeipenda hii makitu. Ngoja nijikusanye nimwekee mama yenu kwenye kale ka vitz kake.

Mngarangara wangu mtu akiniibia atakuwa kanisaidia kupunguza matatizo.
 
Kwanza nikuondoe hofu hatufanyi ulaghai mkuu,tuna uhakika na huduma tunazotoa,pili kama utataka dhaman ya gari lako kuwa juu yetu ni sawa tu, njoo tujaze mkataba tufanye kazi mkuu
Tunakukaribisha sana..
 
Nimeipenda hii makitu. Ngoja nijikusanye nimwekee mama yenu kwenye kale ka vitz kake.

Mngarangara wangu mtu akiniibia atakuwa kanisaidia kupunguza matatizo.

Karibu sana mkuu!!
 
Habari
I-SECURITY TECHNOLOGY (IST)
wamegosogezea huduma bora zaidi mlangoni kwako
Pata CAR TRACKING SYSTEMS na uwe huru na vyombo vyako vya usafiri na magari ya mizigo unavyomiliki

Kwanini uweke SECURE GPS TRACKER?
Kuna makampuni mengi ambayo yanaweka vifaa hivi,lakini tunayo technologia ya kisasa kabisa ambayo huwezi ipata toka makampuni mengine
-utapata taarifa kupitia meseji kwenye simu ya mkononi, na application maalum kupitia Android/iphone App pamoja na computer
-GPS tracker zetu zinakuja na alarm, hii inamaanisha utapata taarifa ya kufunguliwa kwa milango, gari kuguswa kupitia simu yako mkononina alarm ya kawaida
-una uwezo wa kuzima gari lako popote pale ulipo kupitia simu ya mkononi na lisiwake hivyo ni rahisi kupata gari litapoibiwa
-unaweza na utakuwa na mamlaka ya kuchagua ni eneo lipi gari lako lipite na lisifike
-utaweza kujua iwapo kuna wizi wa mafuta
-utapata taarifa endapo gari lina matatizo kwenye engine,sensor za gari
-utapata taarifa za milango kufunguliwa, gari kuwashwa na kuzimwa na kuzidishwa kwa mwendo, kumbukumbu zote za gari zinahifadhiwa kwenye kifaa husika
-utapata kujua na kufahamu route zote gari lako linazozifanya

Gharama kwa gari ni sh 300,000 utapewa huduma ya mwaka mzima bure, baada ya hapo unaweza uka activate kila mwezi elf 20,000 ili kuwa online muda wote

Kwa bajaji na pikipiki ni sh 170,000 na hakutakuwa na malipo ya mwisho wa mwezi kwa piki piki na bajaji

Huduma nyingine tunazotoa
Ni
>TIME ATTENDANCE SYSTEMS
kujua utendaji na mahudhurio ya wafanyakazi)
>Intruder alarms (kujua kama kuna uvamizi kupitia simu yako ya mkononi na vingora

>AUTOMATIC GATES
geti litaweza kujifungua lenyewe unapotaka kutoka au kuingia kwa kutumia sensor au remote

>VIDEO INTERCOM SYSTEM
utaweza kumuona mtu anayehitaji kuingia kwako kwa kuwasiliana nae kupitia video na sauti ukiwa ndani ya nyumba ama ofisi yako

>ELECTRIC FENCE
Zungusha wasa wa umeme juu ya uzio wako na hakuna muhalifu atayeweza kupita

>CCTV CAMERAS
Funga kamera bora na zenye warrant wa mwaka mzima zenye uwezo wa kuangalia mazingira ya ofisi na nyumba yako

kwa mawasiliano zaidi piga namba +255758728258
Au tembelea
www.isecure.co.tz
info@isecure.co.tz
70317dbc51a74734c111a306bcd23e3a.jpg
fee65ffcebc2911771a95c58106f9841.jpg
567946951521780042fb69155f04de83.jpg
852663d2a3718dd16f468d83aa014900.jpg
3f5ca5ababdc1c9b7700eebc1694f0c0.jpg
8395e320c44e4cf1dca4f081f96ec233.jpg
hii ni gabarit njema mkuu
 
Pata sasa
Huduma za ulinzi kama
Intruder alarm
Electric fence
Cctv camera
Access control system
Kwa gharama nafuu kabisa
Kwa maelezo zaid 0758728258
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom