Awadh Mbwana
Member
- Oct 24, 2014
- 52
- 40
Hii inatokana na kukosekana kwa mzigo makao makuu maagenty na madealers wanauza bei watakazo na co ile elekezi, king'amuzi cha azamtv pamoja na dish kilikuwa135,000/=, kwa sasa king'amuzi hicho ni 145,000/= hadi 150,000/= bila ufundi wala kifurushi cha awali...