House4Sale Nyumba MPYAAA Inauzwa Kigamboni Eneo Limepimwa

BANGO JEUPE

JF-Expert Member
Nov 21, 2015
3,079
2,152
Ukubwa wa Kiwanja:sq meter 1200
Ina fensi na getiI kubwa upana meter 4 serv coater
____________________
Master bed rooms: 2
Normal bed room :1
Bafu na choo cha public
Jiko la kisasa ndani
dinning na sitting nzuri
Tank la Maji:lita 4000
Parking:gari 8 (rav 4)
Ukubwa wa nyumba ni sq meter 610 (eneo limepimwa)
Umeme mkubwa ndani
uwanja umepambwa na paving blocks kiufundi sana
Km 10 toka ferry
________________________

Bei: milioni 550

mnakaribishwa kwa maongezi na kuiona

Mahali: kigamboni ,kibada,block 14

Mob:+255 718 295 182
--------------------------------------
Bango
26cc18f4d80b2ad21a93b7c57f99522e.jpg

2d123e487c050958665313c01d734e62.jpg

d872fa25119634dd8b28cf409e3f9513.jpg

5a4685d8d04b5c4fae47d25da7970630.jpg
 
Ukubwa wa Kiwanja:sq meter 1200
Ina fensi na getiI kubwa upana meter 4 serv coater
____________________
Master bed rooms: 2
Normal bed room :1
Bafu na choo cha public
Jiko la kisasa ndani
dinning na sitting nzuri
Tank la Maji:lita 4000
Parking:gari 8 (rav 4)
Ukubwa wa nyumba ni sq meter 610 (eneo limepimwa)
Umeme mkubwa ndani
uwanja umepambwa na paving blocks kiufundi sana
Km 10 toka ferry
________________________

Bei: milioni 550

mnakaribishwa kwa maongezi na kuiona

Mahali: kigamboni ,kibada,block 14

Mob:+255 718 295 182
--------------------------------------
Bango
26cc18f4d80b2ad21a93b7c57f99522e.jpg

2d123e487c050958665313c01d734e62.jpg

d872fa25119634dd8b28cf409e3f9513.jpg

5a4685d8d04b5c4fae47d25da7970630.jpg
Milion 550 are you serious.... mmmmm hatar kigambon nyie watu mnamatatizo tena sio matatizo kidogo au hii hela ya TZ haina thamani nini .

Hapo ni kipiga hesab zangu za haraka na US $200,000 hii hela ni nying jamani wachen masikhara wajemeni tena CASH
Ndio maan WATANZANIA walio wengi wanauza ile kitu haram nimepata jibu sasa.
 
Wakuu hiyo ndo bei ya nyumba kama mmeipenda njoeni muione na tuelewane bei...mkilalamika bila kujua kama mnahitaji hatutafikia muafaka
Anayehitaji aje tuongee
 
Nikishuka kwa Madiba nachukua nyumba mbili kali sana kwa bei hiyo.
 
Wakuu bei ya maelewano ipo mtu akija kuiona hiyo nyumba tunaweza kuongea na kuafikiana bei punguzo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom