Mitihani ya CIPS UK

ribussama

Member
Dec 11, 2016
94
42
Tangazo la mitihani ya CIPS.

Chuo cha Ununuzi kinawatangazia graduates wote katika level mbalimbali usahili kwa watakaotaka kufanya mitihani ya CIPS mda wa kuleta maombi chuoni mpaka tarehe 10 March 2017. Poa tunatoa review classes kwa watakaotaka application form zinapatika chuoni. Kwa mawasiliano zaidi piga number hii 0718476238.
 
Back
Top Bottom