Noriega Jr
Senior Member
- Apr 12, 2014
- 168
- 59
Habari zenu wana JF mika mingi sijaingia hapa leo nimewakumbuka
kama kichwa cha habari hapo juu hivyo jamani nina nyumba hiyo hapo chini haijakamilika imebaki kupauwa na kuezeka bati tu kwengine kote nimemaliza,
Nyumba ipo KIBAHA-KONGOWE..
kwa mbele ina room 2 nyuma sijakata room yoyote mimi nilitaka kutumia kama Godown au Ukumbi ni mkubwa kiasi watu 500 bila shaka wanazama
kama ukikata room unaweza kupata room kubwa mpaka 6 zenye nafasi na kama utakata kwa ajili ya wapangaaji yaani room na sebule na choo kwa kila mpangaji unapata wapangaji 4,
ipo kibaha sio mbali toka barabara kuu ya morogoro kiasi kama mts 100
fundi wangu kaniambia itachukua bati kati ya 75 na 80 za ft 10 na mbao kiasi cha 180 pcs za 2 by 2 na 2 by 4 ,umeme nguzo 1 tu na maji yapo hapo hapo jirani
Nauza ml 18 maongezi yapo
mawasiliano nicheki hapo 0625979790