Wakuu naomba kujua bei ya kiwango cha chini ya machine ya kufulia.nguo ......ninauhitaji nayo wakuu. .....
Msaada wenu PLZ
Asante sana mkuu ...Gharamia mpya tu ni between Tsh 500 K to 1 Million (Town or Mlimani City). Ikiwa na automatic wash, rinse & dry ni poa zaidi. Kufua kunaboa sana basi tu, hata kama una dem/mke ni wanachoka pia (Be Human). Its easier for ur chick to clean ur stuff wit a washing machine.
Note:
Cheap z Expensive.
Gharamia kitu, U enjoy long term.
Wakuu naomba kujua bei ya kiwango cha chini ya machine ya kufulia.nguo ......ninauhitaji nayo wakuu. .....
Msaada wenu PLZ
uko wap bwana kodofan namba ya simu piaLete mia hamsini nikuuzie iliyotumika kidogo...
Vp utumiaji wa umeme??Gharamia mpya tu ni between Tsh 500 K to 1 Million (Town or Mlimani City). Ikiwa na automatic wash, rinse & dry ni poa zaidi. Kufua kunaboa sana basi tu, hata kama una dem/mke ni wanachoka pia (Be Human). Its easier for ur chick to clean ur stuff wit a washing machine.
Note:
Cheap z Expensive.
Gharamia kitu, U enjoy long term.
Nichek online unitumie no ya simu...uko wap bwana kodofan namba ya simu pia
Mkuu hiyo uliyonayo kg ngapi?Nichek online unitumie no ya simu...
6-7kg...Mkuu hiyo uliyonayo kg ngapi?
Utumiaji wa umeme unategemea na matumizi yako... Umeme wa kufua chupi ni tofauti na umeme wa kufua gunia...Vp utumiaji wa umeme??
Okay inakuaga na watts ngap?Utumiaji wa umeme unategemea na matumizi yako... Umeme wa kufua chupi ni tofauti na umeme wa kufua gunia...
Inatumia mota ndogo tu kama ile ya radio ya walkmanOkay inakuaga na watts ngap?
Kawaida tu kwani unafua kila siku ??...unakuta kuna tenga la nguo chafu in a black plastic bag hua naweka nguo nazovaa week nzima na kuzifunga weekends shemej yako anazifua na kuzipasi....ingawa sumtyms hata within the week. Haili umeme sana (Well sijawahi fatilia, ila haili umeme mwingi)Vp utumiaji wa umeme??
Kwaiyo ni bora ununue brand new ya samsung ndo nzuri?Kawaida tu kwani unafua kila siku ??...unakuta kuna tenga la nguo chafu in a black plastic bag hua naweka nguo nazovaa week nzima na kuzifunga weekends shemej yako anazifua na kuzipasi....ingawa sumtyms hata within the week. Haili umeme sana (Well sijawahi fatilia, ila haili umeme mwingi)
Na since ukinunua mpya na hamna watumiaji wengi ni utatumia mpaka usahau. Kuna moja ya Samsung ipo home kwa wazazi wangu....huu unaenda mwaka wa 4 haijawahi sumbua hata siku moja. It was bought brand new.