FURSA: Kushea office kwenye jengo lenye vyumba vitatu

ZionTZ

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2009
Posts
1,282
Reaction score
541
Heshima kwenu wajasiriamali wenzangu,
naandika uzi huu kwa matarajio kwamba kuna wajasiriamali wengi wadogo/wakati wasio na uwezo wa kumiliki frame/office kwenye maeneo ya barabarani/yanayofikika kirahisi hususani SINZA.

Nilikodi nyumba yenye vyumba vitatu kwa matarajio ya kupiga aina mbili za biashara, lakini nimeshindwa kuanzisha zote nimefanikiwa kuanzisha moja tu ambayo inafanya nibaki na vyumba viwili vya ziada visivyotumika.

Kama wewe ni mjasiriamali mwenye shida na office(hapa namaanisha sihitaji wale wenye kuuza nguo etc nahitaji watu wenye kampuni zao mbalimbali mfano insurance,mawakili,ICT etc...)

Vyumba vina makabati kabisa(built in) na fan la juu wewe utahitajika kuweka labla pazia,carpet na vikorokoro vingine upendavyo, nyumba ipo sinza barabara ya shikilango. kila mwenye chumba atanilipa 150k tu + umeme tutachangia wote, huwezi pata chumba kwa hiyo bei sinza, its only kwa kushare namna hii ndio inawezekana.

Kwa sasa mimi natumia sebule tu, na aina ya biashara nayofanya sio ya watu kuingia ingia kila mara so its always cool.

Yeyote mwenye kutaka kuungana na mimi katika kutokomeza umaskini ani PM au piga namba [HASHTAG]#0677317464[/HASHTAG] kwa mawasiliano ya haraza zaidi.
 
NADHANI MM SITAWEZA KWANI BIASHARA YANGU NI YA WATEJA WAINGIE NA KUTOKA KUCHEKI BIDHAA SASA ITAKUWAJE NA WEWE UMESEMA HUINGIZI WATU
 
Heshima kwenu wajasiriamali wenzangu,
naandika uzi huu kwa matarajio kwamba kuna wajasiriamali wengi wadogo/wakati wasio na uwezo wa kumiliki frame/office kwenye maeneo ya barabarani/yanayofikika kirahisi hususani SINZA.

Nilikodi nyumba yenye vyumba vitatu kwa matarajio ya kupiga aina mbili za biashara, lakini nimeshindwa kuanzisha zote nimefanikiwa kuanzisha moja tu ambayo inafanya nibaki na vyumba viwili vya ziada visivyotumika.

Kama wewe ni mjasiriamali mwenye shida na office(hapa namaanisha sihitaji wale wenye kuuza nguo etc nahitaji watu wenye kampuni zao mbalimbali mfano insurance,mawakili,ICT etc...)

Vyumba vina makabati kabisa(built in) na fan la juu wewe utahitajika kuweka labla pazia,carpet na vikorokoro vingine upendavyo, nyumba ipo sinza barabara ya shikilango. kila mwenye chumba atanilipa 150k tu + umeme tutachangia wote, huwezi pata chumba kwa hiyo bei sinza, its only kwa kushare namna hii ndio inawezekana.

Kwa sasa mimi natumia sebule tu, na aina ya biashara nayofanya sio ya watu kuingia ingia kila mara so its always cool.

Yeyote mwenye kutaka kuungana na mimi katika kutokomeza umaskini ani PM au piga namba [HASHTAG]#0677317464[/HASHTAG] kwa mawasiliano ya haraza zaidi.
Umeshapata sasa.........watu au bado maana nataka nije
 
daah hayo mashart yake sasa,,lakini inaonekana ww siyo dalali kwa jinsi ulivyojieleza
 
Deal hili
unamaanisha nini mkuu...? kwamba mtu atapigwa/kudhulumiwa au its something good...?

kama unamaanisha maana ya kwanza nikutoe wasiwasi, unaweza piga hiyo simu ukaelekezwa jinsi ya kufika na ukafanya maamuzi. asante.
 
Ukiwa na akili mjini unaweza ishi kwa migongo ya wengine

try to be positive boss, u r a free minded person, you'll make decision once your satisfied with your terms & conditions, no body is forcing you to accept anyhow. Karibu.
 
unamaanisha nini mkuu...? kwamba mtu atapigwa/kudhulumiwa au its something good...?

kama unamaanisha maana ya kwanza nikutoe wasiwasi, unaweza piga hiyo simu ukaelekezwa jinsi ya kufika na ukafanya maamuzi. asante.
It's something good. Ni ngumu kupata office mahali hapo kwa kodi hiyo. Think and be positive
 
Aisee nmependa, tarajio langu ni mwezi February, kama nikiwahi mwezi huo nitafurahi: kampuni ya business consultancy, pangenifaa hapo: miezi 3 itafaa?
 
Heshima kwenu wajasiriamali wenzangu,
naandika uzi huu kwa matarajio kwamba kuna wajasiriamali wengi wadogo/wakati wasio na uwezo wa kumiliki frame/office kwenye maeneo ya barabarani/yanayofikika kirahisi hususani SINZA.

Nilikodi nyumba yenye vyumba vitatu kwa matarajio ya kupiga aina mbili za biashara, lakini nimeshindwa kuanzisha zote nimefanikiwa kuanzisha moja tu ambayo inafanya nibaki na vyumba viwili vya ziada visivyotumika.

Kama wewe ni mjasiriamali mwenye shida na office(hapa namaanisha sihitaji wale wenye kuuza nguo etc nahitaji watu wenye kampuni zao mbalimbali mfano insurance,mawakili,ICT etc...)

Vyumba vina makabati kabisa(built in) na fan la juu wewe utahitajika kuweka labla pazia,carpet na vikorokoro vingine upendavyo, nyumba ipo sinza barabara ya shikilango. kila mwenye chumba atanilipa 150k tu + umeme tutachangia wote, huwezi pata chumba kwa hiyo bei sinza, its only kwa kushare namna hii ndio inawezekana.

Kwa sasa mimi natumia sebule tu, na aina ya biashara nayofanya sio ya watu kuingia ingia kila mara so its always cool.

Yeyote mwenye kutaka kuungana na mimi katika kutokomeza umaskini ani PM au piga namba [HASHTAG]#0677317464[/HASHTAG] kwa mawasiliano ya haraza zaidi.
Nina mteja naamtafutia nafasi (space) ya ofisi yenye ukubwa wa mita za mraba 10. Moja ya maeneo aliyoyataja ni sinza.
Vipi hivyo vyumba viwili vinaweza kufikia ukubwa huo?
Namba yangu 0786157788
 
Back
Top Bottom