Nyumba inauzwa Mbezi kwa milioni 68 tu!

Master of the game

JF-Expert Member
Sep 1, 2016
5,858
2,697
Nyumba inapatikana Mbezi ya kimara msakuzi, unaingilia kwa paulo.
Ina vyumba vitatu kimoja ni master pamoja na choo cha public.
Finishing nzuri yenye perving.
Fance pia ipo.
Kisima pamoja na pump.
Yote hayo kwa milioni 68 tu! ukichelewa ni bora uilaumu nafsi yako kuliko kunilaumu mimi.
Napatikana kwa namba 0689699704
FB_IMG_1485980028760.jpg
FB_IMG_1485980025482.jpg
FB_IMG_1485980017576.jpg
FB_IMG_1485980013870.jpg
FB_IMG_1485980011804.jpg
FB_IMG_1485980009825.jpg
FB_IMG_1485980006694.jpg
 
Wewe ndo umelogwa. Yaani nyumba nzuri unaota banda la mbwa? Nahisi wewe mwenzio huru si bure
 
Punguzeni au acheni matusi kwenye uzi wa mwezenu, mtu anauza nyumba yake na hamjui anashida gani.
 
mkuu kwanini usiipangishe ukakusanya kodi kidogo kidogo mpaka ukafikia mil68 na bado ukabaki nanyumba yako?
 
Huna deni CRDB Bank wewe mmh hii nyumba kama imewekwa guarantee vile
 
Yaani wewe unamaana huna uchaguzi wa mazingira unayoyataka ili mradi ni Dar?

Basi ni kweli binadamu tunatofautiana sana.
hahaha umeona eeh,jaama factor yake kubwa kua ipo dar,hajali ipo wapi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom