Wanabodi
Nauza Kiwanja changu kilichopo Dodoma Mjini eneo la Makulu kwa bei ya kutupa kabisa (Ukiwa njiani kwenda Chuo Kikuu cha Dodoma)
Kina ukubwa wa Hatua 15 kwa 30 na kipo tambarale
Bei ni Tsh...
Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi nipo mkoani mbeya wilaya ya mbozi, nahitaji mtu wakubadilishana nae awe mkoa wa kilimanjaro au arusha au manyara wilaya yeyote.
Ipo mwenge karibu kabisa na bamaga stendi master rum sebule na jiko vyote ndani maji 24hrs ndani yà geti na parking ipo bei laki230 ukishalipa hakuna bili yyte zaidi ya kujinunulia Umeme Luku ya kwako
Ni kampuni inayojiusisha Na utotoleshaji Wa vifaranga Na kuunza vifaranga aina ya Chotara(Malawi,chroiler,n.k).kampuni hii imesajiliwa kiserikali...inakupa fursa we we Mjasiriamali kuwezakupata...

Ipo kwenye hali nzuri haina tatizo na ipo fresh kabisa sema adapta ilidondoka imeachia kidogo ila chaji inapeleka fresh bei ya offer 700000 pungufu tunaongea
0774808742 nipo Dar
Vyungu Vyungu vya Joto kwa ajili ya kukuzia vifaranga vinapatikana kwa bei ya Tsh 15000/= na bei Jumla kuanzia Vyungu 5 ni Tsh 14000/= ni vizito na imara ,vinatumia mkaa mchache na Chungu kimoja...
Vyungu Vyungu vya Joto kwa ajili ya kukuzia vifaranga vinapatikana kwa bei ya Tsh 15000/= na bei Jumla kuanzia Vyungu 5 ni Tsh 14000/= ni vizito na imara ,vinatumia mkaa mchache na Chungu kimoja...
1. Anahitajika mtalaam wa maabara mwenye certificate yaani technician certificate in medical laboratory
technology *nafasi moja*
2. Anahitajika muuza duka la dawa (pharmacy ) mwenye...
Kiwanja kinauzwa kipo Kinyerezi mwisho karibu na Songas
Gharama. 15M ina maelewano mazuri ya punguzo la bei Au kulipa kwa awamu.
Size ni miguu 10 kwa 30
Tayari kilianzishiwa ujenzi wa nyumba ya...
Mafuta, ya mawese hutumika kama Tiba Asilia kwa magonjwa mbalimbali na pia hutumika kwa kupikia na wengine pia hutumia kwaajili ya kutengenezea sabuni za magadi na kadhalika, mwenye kuhitaji...
Mafuta, ya mawese hutumika kama Tiba Asilia kwa magonjwa mbalimbali na pia hutumika kwa kupikia na wengine pia hutumia kwaajili ya kutengenezea sabuni za magadi na kadhalika, mwenye kuhitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.