Nauza vifaa vya mgahawa

faruujohn

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
265
314
Nauza Vifaa vya cafe kama ifuatavyo:-

1 meza za plastic idadi 4 Bei elf 40 kwa kila moja.
2 Viti vya plastic vile vigumu idadi 12 Bei Elf 12 kwa kila kimoja
3 Mtungi wa Gesi lake oil ule mkubwa Bei Laki moja
4 Jiko la Gesi Kubwa la kukaangia chips Bei Laki 4.
5 Meza Za Mbao kubwa idadi 3 Bei elf 25 kwa kila moja
6. Jiko La mishkaki Kubwa Bei elf 80
7. Creti Za Pepsi idadi 10 na chupa zake Bei elf 10 kwa kila moja

Dar - Mtoni
0773896708
 
mbona unauza bei kama ya dukani, wakati mtu akifilisika anatakiwa kuuza vitu kwa bei ya kutupa
 
Zote bei za dukani hizo tena uombapo punguzo, mfano viti vigumu tunauza 13 we 12, duh haya mashine ya chips bado tofauti yake 10 na dukani
 
Nauza Vifaa vya cafe kama ifuatavyo:-

1 meza za plastic idadi 4 Bei elf 40 kwa kila moja.
2 Viti vya plastic vile vigumu idadi 12 Bei Elf 12 kwa kila kimoja
3 Mtungi wa Gesi lake oil ule mkubwa Bei Laki moja
4 Jiko la Gesi Kubwa la kukaangia chips Bei Laki 4.
5 Meza Za Mbao kubwa idadi 3 Bei elf 25 kwa kila moja
6. Jiko La mishkaki Kubwa Bei elf 80
7. Creti Za Pepsi idadi 10 na chupa zake Bei elf 10 kwa kila moja

Dar - Mtoni
0773896708
Vitu used unauza kwa bei ya dukani hebu use siriaz kdg
 
mkuu kwanza pole kwa 'maisha tu' kauli inayodhihirishia wanajamvi kuwa kuna jambo halikwenda kama ulivyolipanga. turudi kwenye habari yenyewe;
mkuu kwa bei hizo kukingana na vipaumbele vya watu wengi hususani msimu 'huu' yakupasa uchange sana akili yako na kubadili sera za biashara: 1. uuze kwa bei rafiki ili zinunulike kwa mkupuo ili ukafanye shughuli nyingine 2. ubadilishe umiliki kwa 100% yaani umpangishe mteja mpya badala yako aendeleze biashara yako 3. utafute mbia mwendeshe biashara kwa ushitiri 50% (yataka umakini zaidi) 4. hamisha biashara yako kwenda eneo jingine unaloamini biashara itatamalaki 5. weka wazi changamoto/vikwazo unavyodhani vimekufikisha hapo ulipo hadi unaamua kuvunja biashara. jf ni chuo maridhawa watakupa abc utajipanga na hatimaye utainuka upya. Sabharkheri!
 
Back
Top Bottom