Nauza kiwanja Morogoro 1,800 sq.M

LAPTOP2016

JF-Expert Member
Oct 20, 2016
728
2,140
Aina ya property : Kiwanja/Plot
Mkoa kilipo : Morogoro
Eneo : Kilimanjaro, Njia ya Dodoma M 800 kutoka barabara ya Dodoma.
Ukubwa : 1,800 sq.m Low Density
Sifa za eneo : Kimepimwa, Kina offer halali, na mimi ndiye mmiliki
Bei : Milioni 13.
Mawasiliano : PM
Sifa nyinginezo : Kipo kwenye kona, nyumba nyingi zimejengwa maeneo hayo, Ni sehemu nzuri na salama kwa makazi, Umeme na maji upo.

KARIBUNI SANA KWA MWENYE UHITAJI.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom