kasuku mtu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 321
- 94
Tunauza pumba za mbao kwa wanaoenda kufanyia mambo yao sisi tuna mashine na tunauza mbao hivyo tunazalisha kwa wingi pumba hizi jumla na leja leja nitafute 0715426668
Yaaa kuna watu wengi sana wananunua 0umba xa mbao mjini wenye viwanda vya barafu wafugaji wa kuku wakaanga chipsi wenye viwanda vya kufua vyuma ni hitajılinalotumiwa pia kuzalisha mkaa wa kisasaPumba za mbao zinauzwa! kweli mjini sio kuzuri,kule kwetu wenye mashine wanawalipa watu waziondoe kwenda kutupa!

Kama ni deal kubwa waconnect watu wenye uwezo wa kukodi fuso km167 kutoka dar es salaam wanapata za bure kabisaYaaa kuna watu wengi sana wananunua 0umba xa mbao mjini wenye viwanda vya barafu wafugaji wa kuku wakaanga chipsi wenye viwanda vya kufua vyuma ni hitajılinalotumiwa pia kuzalisha mkaa wa kisasa