Small apartment for rent

God knows

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
276
173
Nahitaji apartment ndogo yenye vitu vifuatavyo:

Master bedroom
Sebule
Jiko (Not very necessary)
Tiles + Gypsum
Umeme (luku ikiwa ya kujitegemea itakuwa poa sana) + Maji

Natamani iwe karibu na main road na ikiwezekana nisipande zaidi ya mabasi mawili kufika posta.

Karibuni.
 
Nahitaji apartment ndogo yenye vitu vifuatavyo:

Natamani iwe karibu na main road na ikiwezekana nisipande more than two cars kufika posta.

Karibuni.


Hapo una maanisha usipande zaidi ya Mabasi 2 kufika Posta?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom