Wana JF habari?? Nahitaji uwanja maeneo ya kihonda, kiegeya, mkundi au maeneo mengine yanayoendelea kwa morogoro. Buget yangu ni milion 3. Uwanja uwe na ukubwa usiopungua mita square 750. Nahitaji...
True Ink Associates would like to announce the CISA (Certified Information Systems Auditor) review class will start TODAY 09/05/2016 at DSM City Center Raha Tower Building .The course duration is...
Isecure inatoa ofa ya online tracking bure kupitia kwenye simu na computer kwa muda wa miezi mitatu kwa wateja watatu wa kwanza watakaoweka alarm systems & cartracking .Baada ya muda huo mteja...
Box moja lina jumla ya rola 12, box moja lenye jumla ya rola 12 linauzwa kwa shilingi elfu kumi 10,000/=
Mahali : Dar es Salaam
Simu: 0718 166060(kwa namba hii ya tigo tuma massage whatsapp)...
Tuna fanya Programming ya funguo za magari zinazotumia sensor(transponder) na smart key(keyless or push to start key).kwa magari aina zote yaani TOYOTA,VW,BMW,FORD nk. Kama unahitaji funguo ya...
Wadau kama title inavyojieleza,nimeamua kuuza flat screen yangu,
Nimekwama wadau mana naona muda unayoyoma alafu mambo hayajakaa sawa hivo kuepusha shali na landlord ni bora niuze tu hii tv
TV...
Kiwanja kinauzwa Irnga kwa being ya tsh mil 2.5,lipo eneo nzuri huduma muhimu zipo, kinapatikana mtaa Wa kitwiru karibu na viwanja vilivyopimwa vya manispaa. Mawasiliano 0763024430,,, hakina...
Habari zenu!!!
Naomba kujua bei ya laptop yenye sifa hizi kwa wajuzi wa biashara ya laptop
Aina: Hp elitebook 2540p
Muundo: Mini laptop
Processor: Core i7
RAM: 4.00GB
System type: 64-bit Operating...
Habari zenu wakuu
Natumai wazima kabisa, poleni na majukum ya kulijenga taifa
Kama kichwa ninavyojielezea nahitaji laptop iwe used ambayo haijachoka sana lakini au mpya
SPECIFICATION
1. AINA...
Hatimaye kwa wote wenye uhitaji wa Kitabu kizuri kwa maana kinachofafanua hatua kwa hatua namna ya utengenezaji wa bidhaa mbalimbali za Viwandani Na utotoleshaji wa Vifaranga vya kienyeji kwa...
NIPO TUKUYU-MBEYA Natafta wa kufanya nae exchange nina pesa taslimu jumlisha na simu (NOKIA-LUMIA 520) Nahitaji laptop ya wastani..
Kwa mwenye nayo serious ani watsap kwa 0676227858.
Karibuni...
Tunauza Viatu vya kimasai original kutoka Mombasa ! Tunauza kwa jumla na reja reja !
Jumla elf 15,000 kuanzia pea 5
Reja reja elf kuanzia elf 20,000!
Viatu vyetu ni original a na imara kabisa...
Ukubwa: mita 17x10
Location: cheki point kama mita 30 kutoka barabarani ,maeneo ya dampo.
Maji na umeme vyote viko karibu
Bei: 3.5M (Fixed price) hakuna dalali.
Call: 0674057335 only if your...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.