Msaada: Wapi ninawezapata vifungashio vya ujazo wa 300mls?

Chief Wingia

JF-Expert Member
Jul 12, 2013
2,463
4,407
Husika na kichwa cha uzi hapo juu,

Naomba kujuzwa kuhusu kampuni/maduka, mahali na bei ya hivi vifungashio. Vifubgashio hivi ni kwaajili ya kufanya packaging ya maziwa.

Nipo Dar es Salaam.
 
Back
Top Bottom