M malewa Member Feb 23, 2015 15 4 Feb 9, 2017 #1 Natafuta mafuta ya kupikia ya kasuku, nipo DSM, je naweza kuyapata wapi?
Wonderful JF-Expert Member Apr 8, 2015 7,347 5,984 Feb 9, 2017 #2 Kwa Dar sidhani.Ila kanda ya ziwa Mwanza-Musoma yapo.
Zabron Hamis JF-Expert Member Dec 19, 2016 6,843 10,899 Feb 9, 2017 #3 Mimi najua yanakopatikana nipm
N NAKWEDE JF-Expert Member Aug 1, 2007 27,966 35,152 Feb 9, 2017 #4 Ukipata mtu anayekwenda Kenya mtume kule yapo mengi sana
M malewa Member Feb 23, 2015 15 4 Feb 9, 2017 Thread starter #5 Wakuu Nashukuru sana kwa maelezo yenu. Msemachochote nitacheki nawe punde in pm.