Mbao fupi za futi 12 zenye dawa kwa bei nafuu

kasuku mtu

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
321
94
Mbao za futi 12 za dawa trited wood
- 2x4 @ 7500pc
- 2×2@ 4000pc
- 1x8@ 14000pc
- 1x10@18500pc
Bei zetu ni za dukani na hazina udalali
ogopa matpeli wa udalali wa mbao njoo upate kilicho bora kwa samani sahihi ya bidhaa halisi

Kwa mawasiliano zaidi 0715426668
 
Ni vizuri ukaweka eneo jografia unalopatikana,MF. mkoa,wilaya,tarafa,kata,Kijiji, mtaa/kitongoji
 
Mbao za futi 12 za dawa trited wood
- 2x4 @ 7500pc
- 2×2@ 4000pc
- 1x8@ 14000pc
- 1x10@18500pc
Bei zetu ni za dukani na hazina udalali
ogopa matpeli wa udalali wa mbao njoo upate kilicho bora kwa samani sahihi ya bidhaa halisi

Kwa mawasiliano zaidi 0715426668
Samani=Thamani
 
Trited = Treated
 
Hapo ndo wamejaa matapeli kama inzi..anyway ninahitaji za blandarin chumba cha futi 10 kwa 11 nitachukua mbao ngapi...
Kwa soko kubwa la mbao sasa hivi hasa za jumla au nyingi kwa ujenzi ni lazima uje buguruni ila sasa mafunsi wenu ndio wanadili na madalali ili kutengeneza vipimo feki vinavyo watapeli mabosi wao
 
Kwa soko kubwa la mbao sasa hivi hasa za jumla au nyingi kwa ujenzi ni lazima uje buguruni ila sasa mafunsi wenu ndio wanadili na madalali ili kutengeneza vipimo feki vinavyo watapeli mabosi wao
Na mafundi wanashirikiana na nyie wenye mzigo.
 
Kwa soko kubwa la mbao sasa hivi hasa za jumla au nyingi kwa ujenzi ni lazima uje buguruni ila sasa mafunsi wenu ndio wanadili na madalali ili kutengeneza vipimo feki vinavyo watapeli mabosi wao
Kweli kuna mchezo,ila buguruni wapo vizuri kwa figisu figisu za utapeli,sio mbao tu hata mabati.Ni bora kwenda na fundi unayemwamini ambaye hatafanya dili na hao matapeli.Vinginevyo mnunuzi inakula kwako.
 
Na mafundi wanashirikiana na nyie wenye mzigo.
Sio wenye maduka bali madalali wanao juana nao me siuzi mbao ndefu nauza mbao za dawa lakini ni futi 12 na hununui kwa kila futi ukapimiwa hapana wale
Na mafundi wanashirikiana na nyie wenye mzigo.
Sio wenye maduka bali madalali wanao juana nao me siuzi mbao ndefu nauza mbao za dawa lakini ni futi 12 na hununui kwa kila futi ukapimiwa hapana wale wanaonunua mbao kwa futi na meter waje na vifaa vyao vya upimaji watakua salama
 
Pia kwa wale wanaojenga mabanda ya mifugo na kupaua kufanyia bandali mbao hizi hudumu kwani haziliwi na wadudu kama zile nyeupe tupi
 
Kwa soko kubwa la mbao sasa hivi hasa za jumla au nyingi kwa ujenzi ni lazima uje buguruni ila sasa mafunsi wenu ndio wanadili na madalali ili kutengeneza vipimo feki vinavyo watapeli mabosi wao
Hapo buguruni Kuna baadhi ya watu ni wapigaji wanajifanya wanauza mbao bei poa kumbe una wamekata futi, unaweza kujikuta unapigwa futi 3 kwa kila mbao huku wewe ukijua umepata mbao za bei rahisi.
 
Hapo buguruni Kuna baadhi ya watu ni wapigaji wanajifanya wanauza mbao bei poa kumbe una wamekata futi, unaweza kujikuta unapigwa futi 3 kwa kila mbao huku wewe ukijua umepata mbao za bei rahisi.
Yaa ila mimi siuzi mbao ndefu za kupima mimi nauza mbao standard kwa ujenzi wa kawaida mtu yeyote ana weza kufanya nauza mbao za fut 12 tu wanaita mbao fupi hizi mbak kama 2×2 unapaulia na unaweza kufanyia bandar ya body ya kawaida au gipsum kwwnye nyumba yenye hadhi yoyote kwani zimewekwa dawa na ni imala zimeenea vipimo 2×4 pia na firsherbod za 10×1 na 1×8 mnakaribishwa wapo watu zaidi ya watatu wameona tangazo hili wamekuja na wamepata huduma wanaweza kukupa ubora wa huduma zetu
 
Back
Top Bottom