Mafunzo ya CCTV camera, electric fence, Alarm system

LIZZYBETTY

Member
Jul 23, 2015
48
8
GS POWER INSTALLATION LTD INAYOFURAHA KUWATANGANZIA UMMA MNAMO TARH 1.4.2017 INAFUNGUA CHUO KITACHOJULIKANA KAMA GS POWER TRAININNG CENTRE MASOMO YATAKAFUNDISHWA NI
-ELECTRIC FENCE INSTALLATION(MIEZI MITATU)
-CCTV CAMERA(MIEZI MITATU)
-ALARM SYSTEM(MIEZI MITATU)
ADA YA MASOMO NI 300,000(LAKI TATU)
FOMU YA KUJIUNGA NA CHUO NI 10000(ELFU KUMI)
SIFA NI MTU YEYOTE ANAYEJUA KUSOMA NA KUANDIKA
FIKA OFISI KWETU TUNAPATIKANA GS POWER INSTALLATION LTD TUPO KARIKOO MTAA WA LIVINGSTONE KARIBU NA BENK YA NMB
KWA MAWASILIANO ZAIDI
0753 041524,0677007005
Email:info@gspower.co.tz
website:www.gspower.co.tz
 
GS Power installation
Tunatoa kozi fupi zifuatazo
1:CCTV installation
2:Electric Fence installation
3:Fire and theft alerts system(Alarm)
 
GS POWER INSTALLATION LTD INAYOFURAHA KUWATANGANZIA UMMA MNAMO TARH 1.4.2017 INAFUNGUA CHUO KITACHOJULIKANA KAMA GS POWER TRAININNG CENTRE MASOMO YATAKAFUNDISHWA NI
-ELECTRIC FENCE INSTALLATION(MIEZI MITATU)
-CCTV CAMERA(MIEZI MITATU)
-ARAM SYSTEM(MIEZI MITATU)
ADA YA MASOMO NI 300,000(LAKI TATU)
FOMU YA KUJIUNGA NA CHUO NI 10000(ELFU KUMI)
SIFA NI MTU YEYOTE ANAYEJUA KUSOMA NA KUANDIKA
FIKA OFISI KWETU TUNAPATIKANA GS POWER INSTALLATION LTD TUPO KARIKOO MTAA WA LIVINGSTONE KARIBU NA BENK YA NMB
KWA MAWASILIANO ZAIDI
0753 041524,0677007005
Email:info@gspower.co.tz
website:www.gspower.co.tz
Ni jambo jemaa,mkianza muwakumbuke walio na ajira ambao watataka kuja kujifunzao so nashauri darasa la jioni liwepo hapo nami utanipata.Mkikaribia kuanza ni pm just in case.
 
Ni jambo jemaa,mkianza muwakumbuke walio na ajira ambao watataka kuja kujifunzao so nashauri darasa la jioni liwepo hapo nami utanipata.Mkikaribia kuanza ni pm just in case.
oky nitalifikisha kwa uongozi
 
Kozi inapnekana ni nzuri sana maana tuna vijana wanaotakiwa wakachukue matokea yao kidato cha nne mahakamani sasa wakirudi wangekuja kupata mafunzo hayo ila sasa tatizo ni tarehe uliyopanga kufungua chuo ndiyo inanipa mashaka kidogo kama hiki kitu ni real ama
 
Mkuu, jaribu kufundisha pia na somo la Access control. Hapo fundi atakuwa amekamilika angalau kwa asilimia nyingi katika mambo ya security sysetem kama atakuwa amesoma kozi zote tajwa hapo juu.
 
GS POWER INSTALLATION LTD INAYOFURAHA KUWATANGANZIA UMMA MNAMO TARH 1.4.2017 INAFUNGUA CHUO KITACHOJULIKANA KAMA GS POWER TRAININNG CENTRE MASOMO YATAKAFUNDISHWA NI
-ELECTRIC FENCE INSTALLATION(MIEZI MITATU)
-CCTV CAMERA(MIEZI MITATU)
-ALARM SYSTEM(MIEZI MITATU)
ADA YA MASOMO NI 300,000(LAKI TATU)
FOMU YA KUJIUNGA NA CHUO NI 10000(ELFU KUMI)
SIFA NI MTU YEYOTE ANAYEJUA KUSOMA NA KUANDIKA
FIKA OFISI KWETU TUNAPATIKANA GS POWER INSTALLATION LTD TUPO KARIKOO MTAA WA LIVINGSTONE KARIBU NA BENK YA NMB
KWA MAWASILIANO ZAIDI
0753 041524,0677007005
Email:info@gspower.co.tz
website:www.gspower.co.tz
Kinafunguliwa siku ya wajinga, kitakuwa na vilaza kibao (joke)
 
Let's be serious.
Ku install CCTV camera miezi mitatu! Au kutengeneza camera yenyewe!

Camera unakuja na visa vyake vyote complete. Kinachofanyika ni kuunga waya na terminal zake biashara imeisha. Bora ungesema siku 2 maximum.

Vijana hawa wananjaa na lile kidogo walichonacho mnataka muwachululie chote. Jamani tuwe na huruma
 
Mkuu, unachokiongea unauzoefu nacho, au meamua kuchangia jinsi unavyojua? Bora ungejikita kwenye mambo ya bei, kuliko kupunguza siku za kujifunza, toka miezi 3 hadi siku 2!!!!
Labda nikupime kwa swali dogo tu, chukulia mfano wa uwanja wetu wa Taifa wa mpira. Kamera zake zilikuja na visa (vifaa) vyake vyote, kwa kiasi cha kuunga unga tu kwa masomo ya siku 2? Vipi ukipewa kazi ya kupiga hesabu kazi mpya kubwa kama hiyo, utatumia elimu yako ya siku 2?

Mm naamini katika hayo masomo kuna mabo mengi muhusika atajifunza, mfano; installation, position, namna ya kuchagua kamera nzuri kulingana na mahitaji ya mteja + eneo husika, aina za kamera, aina ya vifaa vya kurekodia matukio, aina za cable zinazotumika (faida na hasara zake), nk.
Acha vijana waandaliwe katika uchumi wa viwanda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom