Nahitaji battery ya gari dry cell.

BRO SANTANA

JF-Expert Member
Jun 15, 2015
1,845
2,247
Wakuu kwema?
Nina gari yangu toyota runx natumia battery ya maji n40 sasa inanisumbua sana.
Kila baada ya siku 4 lazima nipeleke chaji masaa 12.
Nimebadilisha maji lkn bado.
Naomba kujua bei ya dry cell n40 na je naweza tumia n50?
 
baba, usisumbuke, njoo Qualty Motors ltd, ofisi yetu ipo msasani,kituo cha macho, tunauza Betri za Amaron N40 kwa bei nzuri 115,000 tu Betri ni Dry cell. tunakupa mwaka mmoja warranty. Nakuhakikishia hutajuta kwa Amaron.
N50 ni betri kubwa haitafaa kwa IST.
Tupo msasani, macho. karibu. 0717518359
 
Back
Top Bottom