Nahitaji battery ya gari dry cell.

BRO SANTANA

JF-Expert Member
Jun 15, 2015
1,845
2,248
Wakuu kwema?
Nina gari yangu toyota runx natumia battery ya maji n40 sasa inanisumbua sana.
Kila baada ya siku 4 lazima nipeleke chaji masaa 12.
Nimebadilisha maji lkn bado.
Naomba kujua bei ya dry cell n40 na je naweza tumia n50?
 
Back
Top Bottom