Mmoja hauzi amesema. Nakuomba uje kule kidogobei ya jumla sh ngapi?
Sijakuelewa hapo unaposema wapo 30, alafu unaweza kuleta 30-50, alafu tena chini umeandika wapo 23
Mmoja hapana mkuu
Miss Natafuta hiyo ndo bei ya jumla karibu weka order yakobei ya jumla sh ngapi?
Petro E. Mselewa natuma order kuanzia kuku 25 na kuendelea.Unauza kuanzia wangapi? Unawaleta wazima au wameshachinjwa?