Fance wire Mashine inauzwa

msonganzila

JF-Expert Member
Jun 5, 2016
204
105
Karibuni ndugu jamaa na Marafiki,Mashine hiyo pichani inauzwa kwa mwenye kuhitaji....Bei yake ni 4.5M
0715-011022
990b7edf0e5a18e6b0f7ba9459a12591.jpg
49f8b02fdc665b57def45060c46cc106.jpg
 
Anauza machine ya kutengenezea hizo wire za fance sema hajui kuifafanua vizuri biashara yenyewe.
 
Tanzania ya Viwanda inawezekana,
N ainaanza na wewe,
Ukiwa nayo tu hiyo, TRA, TBS, Mamlaka ya Leseni, NEMC, etc nao hawa hapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom