Helo majasiriamali mwenzangu pole kwa majukumu
Natumaini umesoma heading vizuri natumaini umewahi kuona matangazo kadha wa kadha katika mitandao ya kijamii yakitoa matangazo mbalimbali...
Make : Toyota
Model : Mark x
Mileage : 74,326km
Engine size: 2,500cc
Gasoline : Petrol
Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. )
Transmission : Automatic
Drive : 4WD (FOUR WHEELS DRIVE)...
Habari wana JF.
Naamini huku nitapata msaada kwa haraka kidogo..nina ujenzi unaohitaji I-Beam na angle line zitakazotumia bolt kuunganisha na sio kuchomelea na structure ni kama mnara wa...
Nauza samsung video camera ikiwa bado mpya ina miezi mitatu tu tokea niinunue, ninashida na pesa so nauza kwa bei nafuu kabsa karibu na bure, ina record HD videos na inapiga picha pia, ni portable...
Habari zenu wadau.
Nahitaji remote ya subwoofer kwa anayefahamu wapi naweza pata au kama anayo tufanye biashara.
Remote iliyokuwepo ilikuwa inaongeza sauti,bass na stereo lakini haiwezi...
Shamba lenye ukubwa wa ekali 38 pamoja na miti yake aina ya mpaina yenye umri wa miaka 5 naliuza. Shamba lipo wilayani Mufindi maeneo ya Mudamulo-Mafinga. Ekali moja ni sh. 1,000,000 tu. Unaweza...
Kipo Madale (Kinondoni Dar) kina ukubwa wa Meter 20x22 kinafikika kirahisi kwa gari na umeme umefika. Mimi mwenyewe ndiyo mmiliki ila sijakikatia hati bado. Bei Shiling milioni sita na laki saba...
Jamani ndugu zangu,
Kwa yeyote anayefahamu jinsi ya upatikanaji wa magari ya abiria aina ya Costa. Naomba kujua gharama zake kwa jipya na yeyote anaejua linapopatikana lilianza kutumika na...
Ni mashine inayotumika kuchoma
Kuku(chicken grill)
Inatumia umeme pia unaweza Tumia gas.....
Msingi/tumbo moja unaweza kuwapanga Kuku 6...na sehemu za kuwaweka Kuku ziko fimbo 5...
Kwa hiyo kwa...
Wakuu habari nna gheto langu nahitaji kulipendezesha kidogo. Na carpets na mapazia ka nimuuzaji au una hata account ya social media ya wauzaji waweza nisaidia na kusaidia wengine kupitia nyuzi hii
Wakuu,
Natafuta kompyuta ya mpakato (laptop) yenye specifications zifuatazo au zinazokaribiana na hizo;
1. HDD: 500GB+
2. Processor: Core i5 au i7.
3. Operating System: Windows7 au 10 yenye...