Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Ram 3gb Hdd 250gb Processor 2.17
0 Reactions
2 Replies
489 Views
wakuu naitaji samsung note 4 bei yangu ni laki 4 cash simu iwe na hali mzuri na haina michubuko yoyote, ikiwa na kava na screen protecter itakuwa poa sana mwenye nayo naomba anipm niko Dar
1 Reactions
0 Replies
632 Views
Mkuu invisible na wenzako. napendekeza kama itawazekana lianzishwe jukwaa ambalo wachangiaji wake ni verified users ili tuone kama inaweza kuongeza ufanisi na uwajibikaji katika uchangiaji wa...
0 Reactions
5 Replies
896 Views
Nauza simu aina ya Samsung Galaxy S Samsung-1897 Internal memory Gb 16 bei kitongaaaa 60000/= Nipo dar cm ipo kwenye hali nzuri sanaaa Mawasiliano namba 0656899091 Picha nimeshindwa kuziweka hapa
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nauza Simu Samsung Galaxy S7 GB 32 imetumika mwezi mmoja tu haina mchubuko wowote in short ni mpya kabisa bei 900,000 ukihitaji ni PM tufanye biashara na ina vitu vyake vyote. Asante
0 Reactions
1 Replies
781 Views
Habari wakuu. Nina kiwanja changu nauza kilichopo eneo la Tungoma kwa sako karibu na barabara.Eneo hili llote kuna nyumba.Pia kuna huduma za maji na umeme.Ukubwa wa kiwanja ni 20 kwa 20.Bei ni...
0 Reactions
2 Replies
648 Views
Hello wakuu. Mimi ni kijana wa miaka 32, Mtanzania niliyelelewa na familia ya wafanyabiashara, baadaye nikasomeshwa mambo ya uhasibu kwa ajili ya kuandaa Kodi. Hivi sasa natafuta mradi wowote...
0 Reactions
0 Replies
617 Views
Natafuta room ya kupanga kwa gharama isiyozid 70000 room iwe katika hali nzur na isiwe na wapangaji Wendi.room iwe ndan ya geti
0 Reactions
0 Replies
783 Views
TANGAZO NJOMBE INSTITUTE OF TOURISM AND HOTEL MANAGEMENT kinawatangazia nafasi za masomo kwa walimaliza darasa la saba na kidato cha nne kwa kozi zifuatazo: 1. Basic Hotel Management 2...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini Wanajamvi. Nauza Kiwanja Changu Na Hizi ndio Taarifa za Kiwanja Eneo: Kigamboni Kibada kwa Mwarabu, Jijini Dar Es Salaam Ukubwa: Sqmeter 1084 Hati: Kina hati Ndio Eneo ni tambalale...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari wanajamii? Tunauza vitabu vya waandishi mbali mbali wa riwaya kama Ben Mtobwa, Hussein Tuwa, Beka Mfaume na wengine wengi. Vitabu vinapatikana posta, kinondoni, bunju na kwa wale...
1 Reactions
0 Replies
4K Views
Tuwasiliane
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Simu aina ya Huawei y 625 naiuza itumike kama spare parts,inatatizo la power ic. bei ni maelewano tuu.
0 Reactions
2 Replies
651 Views
Habari wana jf,sisi tunajishughulisha na masuala ya uchimbaji visima kwa ajili ya mashamba ( I mean kumwagilia ) au kwa matumizi ya nyumbani Bei zetu ni shillingi elfu sabini kwa mita moja (...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Agri Care, Substantially provides accurate measures in preserving natural soil nutrients that has lately faced fatal degradation through direct application of chemicalized fertilizer form...
0 Reactions
0 Replies
573 Views
Kipo Madale Flamingo barabara inayokwenda Kwetu Sekondari, ni eneo lililopimwa kwa makazi ya watu. Hakijakatiwa hati bado, Kina ukubwa wa hatua 25x30. Kinafikika kirahisi kwa gari na umeme...
0 Reactions
4 Replies
825 Views
Viko katika hali nzuti kabati ,zimetumika kwa Miezi 6 kabati La Nguo=Tsh 230,000 kabati La Vyombo=190,000 Sofa=90000 ____________________________ Toka Dar kigamboni Call/whtsp:+255718295182 Pia...
1 Reactions
31 Replies
18K Views
Kwa mwenye kuweza kunitafutia au kuniambia ni sehemu gani zinauzwa hizi mashine ya kukata tiketi na na risiti pls aniambie kupitia uzi huu
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Vyumba viwil na sebule k.ndon mtaa wa ufipa...full tiles...ceilling board...luku inajitegemea...pangaboi vyumban kote na sebulen...maj dawasco ndan...parking ipo.lak tat kwa mwez0713679865
0 Reactions
0 Replies
636 Views
Vyumba viwil na sebule.full tiles,ceilling board,luku inajitegemea...pangaboi vyumban kote na sebulen....maj dawasco ndan...parking ipo.lak tat kwa mwez 0713679865
0 Reactions
0 Replies
706 Views
Back
Top Bottom