Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Jaman naulizia soko la mayai ya kienyeji huko nina mayai yangu meng hapa natak nije nijumlishe huko
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Make : Toyota Model : Landcruiser Mileage : 5,710km Engine size: 4,600cc Gasoline : Petrol Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. ) Transmission : Automatic Drive : 4WD (FOUR WHEELS DRIVE)...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kipo Madale (Kinondoni Dar) kina ukubwa wa Meter 20x22 kinafikika kirahisi kwa gari na umeme umefika. Mimi mwenyewe ndiyo mmiliki ila sijakikatia hati bado. Bei Shiling milioni sita na laki saba...
0 Reactions
1 Replies
580 Views
Natafuta soko la asali nina lita 100 nauza kwa Tsh.10,000 kwa lita. Napatikana Dar kwa mawasiliano zaidi tuwasiliane kupitia 0746 019 259.
1 Reactions
1 Replies
628 Views
Naomba kujua kuwa soko la spinel nina red spinel ndogo Sana kama mchanga vp zinauzika naomba ushauri
0 Reactions
0 Replies
393 Views
NUNUA SMARTPHONES MPYA NA ORIJINO KWA BEI RAHISI KUPITIA SMARTPHONES TANZANIA – Original Smartphones at lower prices WEKA ODA YAKO NA UTALETEWA POPOTE ULIPO DAR ES SALAAM PIA MIKOANI TUNASAFIRISHA
0 Reactions
0 Replies
453 Views
jaman natafta room ya kupanga single self kubwa ya bei nafuu moshi mjini
0 Reactions
0 Replies
866 Views
Inauzwa 1M nicheck kupitia 0713118737
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Viwanja vinauzwa Chanika ukubwa futi 45 kwa 42 bei milioni moja na laki tano pia mashamba yapo bei kuanzia milioni kumi vilevile kuna nyumba zinauzwa kuna ya milioni kumi na sita,milioni kumi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
kuna boss anahitaji sheli ya kukodisha. mwenye nayo au ana connection anichek kwa no hii 0787776173. pamoja sana. yote maisha.
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Wakuu, Ninatafuta mtaalamu anayeweza kutengeneza / renovate nyumba moja Dar es salaam na nyingine Mwanza. Nyumba ya Dar es salaam ni ya vyumba viene ipo mikocheni na nataka itengelezwe kwa...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Nyumba hii ni ya nyumba 4 viwili master bed rooms na viwili vya kawaida. ina choo cha public, sebule, jiko na store. pia iko kwenye kiwanja kikubwa kama mnavojua viwanja vya mwanagati sio...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wana JF, kwa yeyote anayeuza line za uwakala tigo pesa na Mpesa, Napatikana Mlandizi Kibaha tuwasiliane kwa 0757995789 au 0652765670 Asanteni!!
1 Reactions
2 Replies
798 Views
MBWASA GENERAL MACHINES COMPANY TUNATENGENEZA NA KUUZA KWA BEI POA MASHINE NZURI SANA ZA KUTENGENEZA SABUNI. Wasilina na sisi 0714-799 305
0 Reactions
7 Replies
9K Views
Hivi ni virutubisho vilivyochambuliwa kutoka kwenye vyakula vinavyoongeza mwili, pia zipo za kupunguza mafuta mwilini
0 Reactions
1 Replies
645 Views
Wakuu Nina ka 2m natafuta mtu ambaye anafanya biashara yenye tija inayorudisha faida ndani ya kipindi kifupi
0 Reactions
0 Replies
646 Views
Specification Touch screen 1TB HDD still New i5 7th Generation 15.6" Full HD Display Multi Mode Hinge Processor 3.1 ghz intel i5, window 10 Home (64 bit) English Intel HD Graphics 620 8GB...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu hbr za mida, naomba kujuzwa wanapouza spray hizi kwa bei ya jumla,maana nilichukua Zanzibar kwa sh 4000@spray na sh 7000@lotion kwa jumla. Sasa sijajua kwa huku Dar wapi naweza kupata kwa...
1 Reactions
3 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…