Nahitaji katani

mwako

Senior Member
Jul 11, 2015
137
89
Wakuu nahitaji katani ,kwa wanaodeal na issue hiyo wanione PM tuongee biashara.
Kama una information yoyote tafadhali niambie,kilo ya katani ni bei gani,robota moja ina kilo ngapi,container moja ina uwezo wa kuingia tani ngapi.
Ahsanteni.
 
Npgie nkuunganishe na mtu 0784616544
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom