+255 657 685 268 WhatsApp!
Nyumba za kisasa za kuishi familia sehemu nzuri na salama kwa afya, uhuru na furaha!
1 chumba master
2 vyumba vya kawaida
Sebure,
Dining, jiko na mini stoo,
Choo na...
Habari wana board!!
Nahitaji ufafanuzi wa haraka kwa aliyewahi kuagiza bidhaa toka Made in China (e commerce platform)
1. Wengi wao njia zao za malipo ni kupitia western union au T/T, je wana...
Nahitaji chumba cha kupanga kiwe katika hali nzuri, na salama maeneo ya ubungo. maji yawepo ndani na kiwe karibu na barabara. Kikiwa self itakuwa vizuri zaidi bajet yangu ni elfu50
Tunauza vifaranga wa kuku bora wa kienyeji, Shamba letu lipo Kanyama Kisesa, Mwanza
wapo aina mbalimbali kama Kloiler, Malawi (weusi) na chotara. Pia tunauza vifaranga vya Kanga, Bata mzinga...
Make : Nissan
Model : GT-R
Mileage : 29000km
Engine size: 3,800cc
Gasoline : Petrol
Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. )
Transmission : Automatic
Drive : 4WD (FOUR WHEELS DRIVE)
M/Year...
Habari wanajamvi! Ninahitaji gari lkn ni kwa mbadilishano wa miti ya mbao ina miaka nane! Gari iwe kwenye hali nzuri tutafikia muafaka nimkatie ekari ngapi kulingana na ubora wa gari! Miti ipo...
Kuna mtu anatafuta kiwanja/sehemu ya kujenga fremu.
Sehemu iwe kando ya barabara kubwa.
Mkoa wa Dar es salaam anapendelea ukanda wa mbezi, tegeta, boko, bunju, madale, goba, ilala,kimara, mbezi...
Ndugu wapenzi salaam, mimi ni mjasiliamali ninae jihusisha na utengenezaji wa sabuni ambazo zimekuwa maarufu kwa jina la sabuni za magadi.... ambazo kiuhalisia ni sabuni za mawese pamoja na...
Naomba kuuliza, hivi nawezaje kupata blower original ya kutengenezea simu yenye gun yake, pia kwa anayejua aina mbali mbali za blower na bei zake naomba anijuze. Nipo Moshi Kilimanjaro. Asante.
Tunapenda kuwarifu umma kuwa rangi za magari za sikkens kutoka sassenheim,akzonobel the netherlands,mzigo mpya umewasili ambao ni , rangi ndege, primer za ndege ,plasitic primer za magari yote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.